Je?. umezaliwa tarehe 29 mwezi wa 2.

Je?. umezaliwa tarehe 29 mwezi wa 2.

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,873
Reaction score
7,145
Poleni na majukumu wananchi wenzangu, "by tramp"

Swalihapojuu.
Nataka kujua watu mlio zaliwa tarehe 29/02 mwaka wowoteule je birthday huwa mnai sherehekea vp?.
Au mnasubiri hiyo tarehe kwa miaka kadhaa.
 
Kama mwezi una Siku 28naadhishaga tarehe1.3
Hiyo tarehe ipo kila baada ya miaka mi4 kwanini usisubiri miakahiyo mkuu, maana tunakosa fursa ya kusherekea kila mwaka.
 
Back
Top Bottom