Mjomba kile choo kimeshatitia, sasa hivi wananzengo hawana pa kujisaidia
Mjomba, uliwateua wawe wakuu wa bandari, ila umesahau hawawezi kwa kuwa ni mabashitle
Mjomba, wanadai wanatetea haki zetu...
Naomba Waziri Mkuu kama atasikia au kuona huu uzi aende wilaya ya Maswa-Simiyu,maana nahisi imesahaulika kwa kila kitu hadi huduma za jamii kama maji, afya na mengine mengi yanafanywa ndivyo sivyo.
Aliyekuwa mgombea ubunge Kinondoni kupitia Chama cha Tanzania Labour (TLP) katika uchaguzi uliofanyika Februari 17, 2018, Dk Godfrey Malisa amesema polisi hawapaswi kuhusika katika uchunguzi wa...
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 100 duniani zenye idadi kubwa ya watu ambao wanatumikishwa kwenye shughuli za ‘utumwa wa kisasa’ ambapo hali hiyo inatafsiriwa ni ukiukwaji mkubwa wa haki...
Waziri wa Elimu Joyce Ndalichako, pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Yussuf Masauni, IGP Simon Sirro wamefika Mbezi Louis, jijini Dar es salaam kuhani msiba nyumbani kwa Mwanafunzi wa...
Japokuwa hawajasoma au wamesoma kidogo darasani ila wachawi ni watu wenye akili sana.Na wapo very creative (wavumbuzi) kwenye mambo complicated hapa duniani.
1. Mtu anasafiri kwa ungo ama fisi...
Serikali msichukulie umaskini wa watanzania kama "advantage" kwenu. Ni nani aliyewaambia kuwa familia ya mwanafunzi aliyeuawa kwa ujinga na upumbavu wa polisi kutofanya kazi zao kwa weledi kuwa...
Habari, kwa anaye mfahamu NEEMA DISHON MAGWAI mwenye form four index No. S1436/0026 Mhitimu wa kidato cha nne GEORGE KONGOWE SECONDARY SCHOOL mwaka 2007,nimeokota original certificate zako...
MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi nchini, imepiga marufuku matangazo ya biashara za vipodozi na dawa za kuongeza maumbile kwenye mitandao ya kijamii...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Tarime/Rorya linawashikilia waganga wa jadi wawili kwa tuhuma za kumuunguza kwa moto Emiliana Thomas anayeishi katika kijiji cha Omuga Wilayani Rorya
Kamanda...
Za Jumatatu wakuu hope mko poa na mnaendelea poa na majukumu ya kila siku kuhakikisha grease ya kulainishia vyuma inapatikana.
Wadau mwenye feedback kuhusu kampuni yetu ya AIRTEL iliyopigwa na...
Meneja wa kampuni ya ulinzi la Kilumi Security tawi la Ushirombo mkoani Geita, Malingumu Malimi ameibuka kwenye kikao cha wazazi, shule ya msingi Igulwa kudai Shilingi 245, 666 ambazo hazijalipwa...
“Nilipomaliza shule nikaanza mahusiano na huyo mwanaume, basi katika kipindi cha wiki tano nikajigundua sijielewi kutokana na mabadiliko niliyopata”, hayo ni maneno ya msichana Aisha Juma (17)...
Aliyeua mwanafunzi hajafukuzwa kazi Wala kuadhibiwa, eti risasi yake alipiga kuelekea angani ili awatawanye waandamaji, lakini tatizo lile Basi lilikuwa linatutatiza angani ambako risasi ilipigwa...
Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa 50 za barabara ya lami inayopitia ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi au kutoza kodi ya Utalii kwa watu wanaotumia...
Kumbuka yule jamaa aliekuwa kiongozi wa CHADEMA aliekutwa amenyongwa na kuuwawa kikatili, eti tumesha msahau,,,, kisa tukio la juzi kwenye uchaguzi wa kinondoni,,,,
Drop reply matukio gani...
Kuanzia nimlete huyu kijana kuchunga kondoo zangu.. Kijana simuelewi.. Miaka miwili tu akiwa kazini kondoo zangu zinakufa kwa kasi..
Mara nyingine najiuliza kweli ataweza kuchunga hawa kondoo...
Umeshindwa kusimamia weledi wa askari wako.
Umeshindwa kusimamia Na kudhibiti mihemko yao ya kihisia kiasi ambacho risasi za moto wanazielekeza walipo raia wasio na bunduki.
Umeshindwa...
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania ,Kanda ya Moshi ,imemhukumu kifungo cha maisha jela ,Christina Biskasevskaja (26) raia wa nchi ya Lithuania baada ya kupatikana na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya...