Mjomba

Mjomba

bioto

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,261
Reaction score
2,099
Mjomba kile choo kimeshatitia, sasa hivi wananzengo hawana pa kujisaidia
Mjomba, uliwateua wawe wakuu wa bandari, ila umesahau hawawezi kwa kuwa ni mabashitle
Mjomba, wanadai wanatetea haki zetu kumbe wametupokonya milioni. 200, na kutuua tukiwa kwenye daladala
Mjomba, mi ntoto wa dada yako nitetee, dada anakugwaya kwa sababu uko kimya
 
Back
Top Bottom