Mwenye feedback kuhusu kampuni yetu ya Airtel iliyopigwa na wale wahuni wanaturejeshea lini?

samuel faraj

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
1,326
1,265
Za Jumatatu wakuu hope mko poa na mnaendelea poa na majukumu ya kila siku kuhakikisha grease ya kulainishia vyuma inapatikana.

Wadau mwenye feedback kuhusu kampuni yetu ya AIRTEL iliyopigwa na wale wahuni wanaturejeshea lini?.

Na vipi kuhusu wale wanaume wa makinikia mzigo wetu watau deposit lini? nina hamu na Noah yangu

Najaa sumu sana tunataka Airtel yetu na hela zetu za makinikia ASAP

Am humbled
 
Back
Top Bottom