Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Japokuwa hawajasoma au wamesoma kidogo darasani ila wachawi ni watu wenye akili sana.Na wapo very creative (wavumbuzi) kwenye mambo complicated hapa duniani.
1. Mtu anasafiri kwa ungo ama fisi kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine kwa speed kali na bila ajali
2. Mtu anaingia kwako usiku anakuchezea/kukutumikisha na wakati mwingine anakufanya bila wewe kujijua
3. Mtu anakutumia radi inakutenganisha kiwiliwili
4. Mtu anatengeneza mvua ama kuiondoa sehemu moja mpaka nyingine
5. Mtu anamvuta mpenzi asiye kutaka mpaka anaingia kwenye 18
6. Mtu anakutumia chumaulete inabeba dollars zako zote
7. Mtu anaiba kura
8. Mtu anakupa ukichaa ama uwendawazimu
9. Mtu anakufukuzisha kazi ama kukupa mikosi
10. Mtu anakupa utajiri ama umaskini
Na mengine mengi.
Mytake:
a. Hivi huwa wanafanyaje hawa wachawi/washirikina kufanikisha hayo yote?
b. Wanatumia madawa gani?
c. Imani yao ni ipi na kwann hiyo imani ina nguvu sana?
d. Chuo chao kipo wapi?