Mizimu ya waliouawa maksudi itarudi lini?

Mizimu ya waliouawa maksudi itarudi lini?

Sdm

Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
40
Reaction score
70
Nilikuwa naandika hapa ili ni post.... Nimeamua kufuta maana nahisi nina hasira sana.. Wito wangu Askari watanzania tujifunze kutoka kwa wenzetu... Unajifanya askari na kuua wenzako afu mwishowe unaishia jela baada ya kukutwa uliua.. Fanyeni kazi kama askari..hata hao watu wasiojulikana ipo siku watajulikana tu.. Maana hakuna siri chini ya jua.. Nyie watu msiojulikana mtajulikana tu..ujue ukimwaga damu ya mwenzako ambaye hakuwa jambazi,hakuwa mwanasiasa, alikuwa anasoma ili aje kusaidia ndugu zake afu we askari kwa uzembe unamuua damu yake haitaacha mtu salama.. Natumai mizimu ya watu waliouawa na watu wasiojulikana itarudi siku moja na kuja kuwafichua huko mlikojificha... Kama mnasoma hii post.. Acheni hizo mishe... Hivi mnajisikiaje kwanza kuua wenzenu... Inauma sana.
Jifunzeni kwa mifano ... APUMZIKE KWA AMANI HUYO MWANAFUNZI.
 
Hata sisi roho inauma lakn nisha kula kiapo na sitakiwi ku Question Order yoyote kutoka juu.. Risasi ni bahati mbaya.. Kama ilivyo gari kugonga Mtu.. Dhamira haikua hyo
 
Aquilina asipumzike kwanza. ngoja damu yake iliyomwagwa bila hatia ilipe kisasi. ikisha lipa kisasi kwa wote waliohusika kwa namna mmoja au nyingine kukatisha uhai wake ndipo apumzike. Gone too soon! please avenge!
 
Zitarudi kama ulivyorudi wa Francis Ferdinand wa Austria Hungary!
 
Back
Top Bottom