Shukurani

Shukurani

bandamo

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,931
Reaction score
1,370
Habari wote jf mpo shwari
Nianze kwa kuwashuru wale wote walio shiriki kufanikisha uchaguzi wa marudio kwenye majimbo yetu
Nianze na serekali ninaishukuru sana serekali yetu kwa matumizi mabovu ya fedha za walipa kodi hasa katika kipindi hiki kigumu walimu wakiwa wanadai malimbikizo wao wamepeleka fedha kwenye uchaguzi usio sababu
Niwashukuru sana jeshi la polisi kwa matumizi mabaya ya rasilimali za wakulima (magari bunduki risasi mafuta vyote hivi vinapatikana kwa dora.baada ya kuuza pamba kahawa korosho chai nk) wao wamevitumia kwa manufaa ya mtulia tu na kusahau kuwa watanzania wote wana haki sawa ndani ya nchi yao
Niwashukuru mawakala na wapiga debe wote wa ccm ambao walishiriki kumwaga damu za watu ili tu kuhakikisha familia ya mtulia wanaishi vizuri damu zile zinawalilia kutoka mavumbini
Niwashukuru tume kwa kuharibu kuvuluga taratibu zetu za uchaguzi ili tu kuhakikisha familia ya mtulia inapata kiinua mgongo cha bunge shs 200000000 waishi vizuri
Haya yawe wazi kwenu mlioshiriki kufanikisha vulugu za uchaguzi mtulia leo yupo juu wewe hakutambui vx yake hakupi lift ukiwa na shida yoyote hakutambui kumuona unaomba kwa utaratibu maarumu ameisha kutumia kuvunja haki za watu thamani yako imekwisha rudi kijiweni katembeze maji au karanga juhudi zako zote ulizofanya posho ya kikao kwa siku 330000 ni kwa familiar yake hupati hata mia
Kuwa mbunge ni harari yake lakini alitakiwa apate kwa haki na maamuzi ya wapiga kura sio nguvu kubwa iliyotumika kumwaga damu za watu kupola mabox ya kura kuweka watu ndani
Nawasilisha shukrani
 
Back
Top Bottom