Hili ni wazo langu pekee mimi siyo mjumbe wa Kamati Kuu wala NEC wala mwanachama wa chama chochote cha siasa ni raia mzalendo wa kawaida tu niliyezaliwa miezi michache kabla ya uhuru wa nchi hii...
Kwa muda sasa wilaya ya Misungwi kumeibuka mauaji ya kutisha sana.
Wanawake wakiwa mashambani wanakamatwa wanafanyiwa vitendo vya kudhalilishwa kisha wanauliwa na kuchukuliwa viungo vyao vya...
Habari za uhakika ni kwamba Watanzania sasa wameanza kupata akili kubwa. Hawataki tena kuburuzwa, pamoja na kwamba dhambi ya woga bado inaendelea kuwang'ang'ania.
Yaani kupigwa risasi 38 kwa...
Salaam
Wakuu naona muda upo kasi sana,na baadhi wanaachwa nyuma na muda.kisha anabaki analalama anakimiwa.kimsingi matendo yao ndo yamechangia wengi kufika hapa.
Nalusha jiwe gizani na sijui...
Waziri wa Utalii na Maliasili Dr. Hamisi Kigwangalla leo Februari 19, 2018 amefika katika msiba wa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji cha Taifa NIT Akwilini Akwiline ambaye alifariki baada ya...
Hodi humu ndani!.....
Mwenzenu nimetafakari sana juu ya hali ya hewa nchini, na matukio yooote ambayo yametokea nyakati hizi.
Binafsi kama Wapinzani wamehisi kuonewa kwenye uchaguzi na ushahidi...
Ni muda sasa tunaona chama chetu kikuu cha upinzani cdm kikijitahidi kuikosoa serikali juu ya vifoo mbalimbali vinavyotokea vyenye utata kwa kuihusisha serikali na vifo hivyo lakini hatuoni majibu...
Habari za jumapili wanajamvi!
Niende moja kwa moja kwenye mada ambayo ni kilio changu kwa serikali na wadau wote wa tamaduni, michezo, dini na malezi(wazazi/walezi)
Hichi kilio changu ni juu ya...
nashauri iwe free kuuza msosi popote kwenye jumuiya ya Africa mashariki. mtu awe anapeleka mahindi Kenya au Rwanda au Sudani kusini kama vile anavyotoa Mbeya kwenda dodoma au Dar. kusiwe na...
Kama ni Kweli yanayotokea huko DUNIANI, yaani tumeamua
-kupiga
-Kutesa
-Kunyanyasa
-Kufanya hila
-Kuua
Kwa hakika hatutafuti uongozi wa kuletea watu maendeleo, bali ukwasi na umaarufu.
Huo...
Niambieni wataalam wa mambo ya sosholojia,huku usukumani,watu waliosifika kwa ujambazi ndio walikuwa wakipewa madaraka ya kuongoza sungu sungu.
Na walikuwa wanaogopwa sana,hata hivyo watu...
Tulivyokuwa tunavuka kwa miaka mingi sana daraja la mto Kilombero
kutoka mji wa Ifakara kwenda Mahenge na Ulanga.
Daraja la sasa baada ya ujenzi kukamilika lenye urefu wa mita 387
na njia...
Naomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo...
Mpaka sasa nina taarifa za 'Ngamia wawili waliopenya kwenye tundu la sindano'.
Wa kwanza ni kondakta wa dala dala alilofia marehemu Akwilina. Yule kondakta risasi 'imempuliza' na kumkwangua...
Habar wanajamvi,
Mkoani mwanza katika wilaya ya Nyamaghana kumekuwa na wimbi la uhalifu sugu tokea mwaka jana mwezi wa 12.Kwa uchache tu kuna kijana alichinjwa maeneo ya Nyegezi stand muda wa...
Familia mbili za wanandoa Baraka Malali na Ashura Mussa waliokamatwa nchini China Januari 19,2018 wakiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka miwili zimekubaliana mtoto atunzwe na babu yake Hashim...
Habari wadau.
Nimekua na wazo la mda mrefu nikadhani huwenda Vodacom watakua wanawaza the same ila naona bado.
Simu zetu zimekua ndio Bank zetu za karibu, pamoja na huduma za kipesa...