Vodacom; M-pesa fixed account.

Vodacom; M-pesa fixed account.

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
Habari wadau.
Nimekua na wazo la mda mrefu nikadhani huwenda Vodacom watakua wanawaza the same ila naona bado.

Simu zetu zimekua ndio Bank zetu za karibu, pamoja na huduma za kipesa zinazotolewa kama vile Mikopo na Deposit ,nimeona iko haja ya Mpesa kufika mbali kidogo na kutuwekea "Mpesa Fixed Account." au vyovyote vile watakavyopendelea kuiita.

Kuna wakati mtu unakua na Pesa kwenye Account ya Mpesa ila Malengo ya Pesa yenyewe unakuta bado siku hazijafikia, ni rahisi kujiwekea katika Fixed Accont zaidi,Mfano wanakua na Account za kuanzia Wiki mbili , hadi Mwezi.

Hii itasaidia sana kutupunguzia Matumizi yasiyo ya msingi na kuepuka vishawishi vya hapa na pale katika matumizi ya Pesa kwenye Account zetu.

Ahsanteni
Pesa ni Mpesa.

Nawasilisha.
 
Hiyo Mkuu Mimi napendelea kujiwekea kiwango yaani cha kizuia account yangu isitoke hela yoyote mpaka nirudi kuifungua account yangu ... Mfano na Ban under 2Milion nisitoe

Account inakuwa na uwezo wa kuwekewa hela Ila kutoa au kutuma huna uwezo mpaka urudi kwao ifunguliwe ....

[HASHTAG]#TanzaniaRevolution[/HASHTAG]
 
Siku mtakapo lizwa, msirudi huku kuomba ushauri. M-PESA , TiGO PESA na wengine wote vibaka. Hasa hao M-PESA. ubabaishaji mwingi... Ukipata shida hakuna msaada wowote wanaokupa. Vilevile bado makato yao makubwa mnooo. Simshauri mtu kuweka hela zaidi ya laki 5, kwenye M-pesa. Mara 1000 wende Bank.
 
Vodacom hawahawa wanaokesha wanatumia watu sms za kitoto kila siku 'eti yajayo yanafurahisha'

hivi kweli kifurushi cha vodacom kinaisha mda wake bila kutumika hata mb1 kisa mtandao haupo stable, kila siku watu wa baadhi ya maeneo wanaibiwa hela kwa kununua vifurushi hewa vya internet.

Yajayo yanahuzunisha!
 
Sio mbaya ni nzuri hasa ikiwa kuna bima ya pesa yako,
Lakini inabidi waboreshe kwanza customer care,,
 
Back
Top Bottom