Watu walioponea chupu chupu kufa wiki hii!

Watu walioponea chupu chupu kufa wiki hii!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,814
Mpaka sasa nina taarifa za 'Ngamia wawili waliopenya kwenye tundu la sindano'.

Wa kwanza ni kondakta wa dala dala alilofia marehemu Akwilina. Yule kondakta risasi 'imempuliza' na kumkwangua kidogo sehemu ya juu ya sikio. Ina maana kama angekuwa amegeuka kidogo tu ile risasi isingetereza na ingemtoboa na yeye pengine kufa hapo hapo.
Huyo ndiye top katika list ya watu ambao siku zao zilikuwa hazijafika hivyo wazungu wanasema he cheated death.


Wa pili ni abiria mmoja aliyechelewa hivyo kuachwa na ndege iliyopata ajali hapo juzi nchini Iran.
Taarifa za awali zilisema kuwa wtu 66 walikuwa wamefariki kutokana na ajali lakini taarifa za baadaye zinasema kulikuwa na jumla ya watu 65 huku abiria mmoja (ambaye hakutajwa jina lake) akibainika kuwa aliwachwa na ndege.
This guy had kissed a death but in miraculous way amekiepuka. Siku yake naye ilikuwa haijafika.
https://www.voanews.com/mp3/voa/english/nnow/NNOW_HEADLINES.mp3
 
Mbowe alikwanguliwa wapi na risasi!

Plisi walipokuwa wakipiga hiyo risasi, hawakulenga daladala. Walilenga viongozi wa CHaDEMA waliokuwa mbele ya msafara akiwemo Mbowe, Mnyika na Mashinji.

Kwa hiyo leo tungelikuwa na misiba ya kitaifa ya viongozi wa juu wa CHADEMA na wanachama wa CHADeMA Lukuki.

Mungu!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hao ulowaongeza hapo ni Uongo mtupu. Acha kupumbazwa na Siasa Mkuu
 
Anaonekana ana maisha marefu...
Ingekuwa ni mimi sasa hivi ningekuwa namalizia kreti ya 7 ya bia ya kujipongeza
Tumia busara. Sema ungekua unashinda kanisani/masjid kwa siku saba ningekuelewa. Usevu halafu umpelekee shetani ???
 
Tumia busara. Sema ungekua unashinda kanisani/masjid kwa siku saba ningekuelewa. Usevu halafu umpelekee shetani ???
Nani alikwambia pombe ni shetani??
Binadamu tuna tatizo la kutafuta kitu cha kulaumu tunapokosea..

Polisi waliopiga risasi walikuwa wamelewa??
Vibaka wanaoiba wanakuwa wamelewa??
Au mikataba inasainiwa watu wakiwa wamelewa??
Rushwa zinatolewa na walevi??

Usitake kuisingizia pombe eti ni shetani .
Ushetani upo ndani yako na wala sio pombe.
Pombe ni kiburudisho tu kama kupunga upepo vile..

Kwahio mimi ningejiburudisha kwa kupiga pombe siku 7 mfululizo
 
Back
Top Bottom