Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Na Mwl. Augustine John P. Suala la Walimu wa Sekondari kushushwa (Kuhamishiwa) shule za msingi limetumika kama kigezo kwà wakuu wa shule kupunguza kero za usumbufu kwa Walimu WANAOHOJI UTENDAJI...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Dubai ni moja ya miji ambayo kwa sasa watanzania wengi wanaenda kwa ajili ya kufanya biashara mbalimbali, sasa mtu wangu nimekutana na hivi vitu kumi na moja ambavyo hutakiwi kuvifanya ukiwa...
19 Reactions
195 Replies
53K Views
Wakuu vuteni picha robo tatu ya mshahara wote nakopea naenda kununua kiwanja na tofali pesa inaishia.. Halafu wakati kabla sijakopa ile pesa kamili ya mshahara ilikuwa haitoshi kwa mahitaji yangu...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Kati ya siku alizonifurahisha Rais Magu ni hili la kuzungumza na wafanya biashara na watu wa TRA.Kwa kweli makadirio yanayofanywa na TRA hayakuwa ya kumshawishi mfanyabiashara kulipa kodi bali ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika siku za karibuni, nimekuwa nikiona video za mtoto Antony Petro wa huko Ngara mkoani Kagera mwenye upekee katika akili na maarifa. Mtoto huyu wa miaka kumi anayesoma darasa la kwanza...
11 Reactions
64 Replies
10K Views
Kiufupi ilikuwa hivi; Kuna kijana wangu ofisini alitumiwa meseji ambayo ilionekana imetumwa toka kwenye simu yangu ikimuagiza kutuma kiasi kikubwa cha pesa kwenda kwa mtu flani (jina na namba...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Habari zenu. Nipo porini kwa shughuli fulani na hapa hamna ATM wala bank hadi kilometer almost 20 na nahitaji fedha kutoka kwenye acc yangu ya crdb, Kuna uwezekano wa kuhamishia airtel money mana...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Nyumba zaidi ya 650 za vijiji vya Mlijo chini na kile cha Olbolot zimezingirwa na maji huku wakazi 4000 wa vijiji hivyo wakikosa makazi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ni jambo lililonishtua hasa kwa maeneo ya Tabata.., kila nyumba ninayoingia hukosi mtu anaumwa malaria.., tena utaambiwa kuna wengine wawili watatu nyumba hio hio wamepona juzi juzi tu.., kibaya...
0 Reactions
92 Replies
9K Views
Kuna tatizo sehemu Leo nilikuwa kariakoo kwenye mishe dah frame kibao zimefungwa, mtaa wa Livingstone frame chache ndio zipo wazi ila karibia zote zimefungwa na ukizingatia leo ni jumatatu siku...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeikuta mahala simjui mwandishi lakini story hii ina mengi ya kujifunza. ___________________ Umeenda semina Dodoma, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Tangu asubuhi leo mods wameziachia threads zinazolaumu udini Azam. Kila mtu ni shadidi udini ulioko kwenye teuzi, na kwenye mashirika ya umma kama vile Tanesco, PPF, PSPF, Mawizarani etc, huo...
2 Reactions
1 Replies
743 Views
Hali hiyo inawiana na takwimu zote za kinchi zinazoonyesha kuwa maisha ya WATU wetu yamekuwa mabaya zaidi ndani ya miaka hii miwili ya Serikali ya awamu ya 5, mifano michache ifuatayo inaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Binafsi naona huu ni ujinga eti mwanaume mzima unaogopa kukanyaga kwenye maji mpaka unabebwa.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Sauti kwenye taarifa ya habari inapanda na kushuka kati ya mtangazaji na vipande vya habari, pia hakuna uwiano wa sauti kwenye matangazo, misauti ina burst inabidi unapoangalia Tv yenu uwe na...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanania (TPDC) linawataka Wananchi kupuuza taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba, kiwanda cha saruji cha Dangote mkoani Mtwara kimefungwa kutokana...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Mama aliyetoa kero kwa Rais Magufuli kuhusu wafanyabiashara kunyanyaswa na Manispaa ya Morogoro amezungumza na Mwananchi Amemshukuru Rais Magufuli na kusema kiasi cha fedha alichopewa kilifikia...
3 Reactions
74 Replies
11K Views
Ukisoma historia ya manabii wote na mitume kabla ya Yesu na baada ya Yesu wote walihukumiwa na dola kwa kile kichoonekana kwa lugha maarufu ya sasa Uchochezi. Hakuna sehemu yoyote ile ambapo raia...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna ajali imetokea Leo maeneo ya Ipo ipo center Mazimbu,Morogoro ikihusisha Lori aina ya Scania Ajali imetokea majira ya SAA 5 asubuhi ikihusisha scania baada ya kuvamia maduka mawili moja la...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wadau Nina huzuni na hasira sana Leo,nimelizwa na tapeli wa m pesa nimebaki naduwaa ,pesa yangu 280,000 umeenda. Kuna jamaa kanipigia simu akijitambulisha kutoka Vodacom,akasema kuna mtu...
0 Reactions
63 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…