Mafuriko Kongwa Dodoma nyumba zaidi ya 650 zaathirika na kuwaacha wakazi zaidi ya 4000 bila makazi

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari wanaJF,

Nyumba zaidi ya 650 za vijiji vya Mlijo chini na kile cha Olbolot zimezingirwa na maji huku wakazi 4000 wa vijiji hivyo wakikosa makazi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Kongwa mkoani Dodoma.

Chanzo: ITV
 
Watanzania tumekua wanafiki mnoo viongozi wetu wanaotuongoza wameshindwa kuonyesha hofu ya Mungu wacha tuadhibiwe kwa style hiyo
 
Habari wanaJF,

Nyumba zaidi ya 650 za vijiji vya Mlijo chini na kile cha Olbolot zimezingirwa na maji huku wakazi 4000 wa vijiji hivyo wakikosa makazi kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha wilayani Kongwa mkoani Dodoma.

Chanzo: ITV
Mbunge wao yupo india anakula bata
 
mrijo chini huwa inakumbwa na mafuriko..
mwezi wa kwanza ilikua hivyo hivyo..nilikua huko
hakuna bararabara inayopitika.
 
Mafuriko yanatokea kokote wewe ujitathmini kwa vi kauli vyako uchwara........
Lakini hayaletwi na serikali kama tetemeko la Kagera., nitashangaa kama serikali itapeleka msaada kwa matatizo ambayo haikuyasababisha.
 
Back
Top Bottom