Augustine John Peter
Member
- Nov 26, 2015
- 9
- 4
Na
Mwl. Augustine John P.
Suala la Walimu wa Sekondari kushushwa (Kuhamishiwa) shule za msingi limetumika kama kigezo kwà wakuu wa shule kupunguza kero za usumbufu kwa Walimu WANAOHOJI UTENDAJI WA WAKUU.
hivi unaanzaje kubaki wakati wewe ndio mwenye kuhoji Mapato na Matumizi ya shule ????
Unaanzaje kubaki salama ikiwa wewe ndio mwenye kuhoji ugawaji sawa wa Fursa zinazopatikana shuleni ikiwa ni pamoja na kusimamia mtihani ???? . Mfano, unakuta Mwl anamiaka sita kituoni lakini ameenda kusimamia mara moja huku wengine wanaenda kusimamia huku wananyonyesha
Unaanzaje kubaki salama wakati wewe ndo mwenye kuhoji uhalali wa ripoti inayowasilishwa kwenye kikao cha wazazi bila ya walimu kujua kilichomo ????
Unaanzaje kubaki salama wakati wewe ndio mwenye kuhoji kwa nini walimu hawaletewi fomu za kujaza ili kusaisha mitihani ya Taifa ya Kidato cha Pili, Nne na Sita ???
Unaanzaje kubaki salama wakati unahoji uhalali wa bajeti ya Shule ambayo hakuna anaejua zaidi ya Mkuu wa shule na the so called Mhasibu ???
Unaanzaje kubaki salama wakati wewe ndo unaehoji kwa nini hakuna kikao cha taaluma wakati shule imefelisha sana katika mitihani ya kujipima (Mock)
Unaanzaje kubaki salama wakati ulishawahi kushauriwa uhame kituo cha kazi kwa kuwa Mkuu wa shule hajisikii vizuri wewe kuwepo hapo ???
Unaanzaje kubaki salama wakati wewe hapo ulipo ni wakuja (Ukabilaism))???
Unabaki vipi salama wakati wewe ni mwenye kuhoji kila kitu kinacholetwa na Mkuu wako ???
Hivi unamtoaje Mwalimu ambae kweli anavipindi vichache (12, 6@)) lakini katika masomo anayofundisha wanafunzi wake wanamakundi ambayo ni ACTIVE na kila mwezi wanafanya uwasilishaji, wanadaftari TATU kila somo ambayo jumla ni sita kwa masomo mawili ikiwa ni pamoja na Daftari ya Notés, mazoezi binafsi na mazoezi ya makundi ????
Laiti kama suala hili ungefanyika walau utafiti kidogo Tu wa namna ya kutekeleza basi Shetani angekuwa Malaika
Pamoja na Matatizo rukuki yaliyo katika Elimu ila WAKUU WA SHULE ni tatizo pia
Salam zangu kwa
@joycendalichako @jafosuleiman