Siku hizi kwa wanaume kila siku mara kunywa supu ya pweza, mara tafuta viagra au mara matikiti, matango, mihogo na sasa majongoo ya baharini. Yote hiyo ni kwa ajili ya wanaume kuhangaika...
Habari wanajamvi !, kuna ndugu yangu anatarajia kuoa mwezi Wa 6 mwaka huu. Sasa hajui aanzie wapi na amalize vipi. Alikuwa anaomba ushauri kwa wale wenye experience na haya mambo ya harusi katika...
Habari wanajamvi,
Jmosi ya leo tulivu nikapanga niende escape one kiwanja kimoja maarufu sana mjini, japo kwangu ilikua ni mara ya kwanza..nimeenda na wenzangu walitangulia wakaingia bure mimi...
Nchi 32 za Afrika ikiwemo Tanzania zimeutaka Umoja wa Ulaya (EU) kusitisha biashara ya pembe za ndovu ili kuokoa tembo waliosalia barani humo.
Makubaliano hayo yalifikiwa nchini Botswana hivi...
Naangalia TBC1 LIVE mkutano wa taifa wa baraza la kitaifa la biashara ikulu-Dar es Salaam, naona mzee Reginald Mengi amepewa nafasi ya kuongea ila nilichogundua ni kwamba huyu mzee hayuko sawa...
Ninachukua nafasi hii kuwashukuru watendaji na waanzilishi wa huu mtandao wa kijamii unao tuma fursa sisi wananchi kueleza hisia na mawazo yetu kwa viongozi kwa uwazi.!
Pili namshukuru Mh Rais...
Pamoja na kukosekana kwa idadi kamili, lakini ukweli ni kuwa Tanzania, kama ilivyo kwa nchi zingine, kumekuwepo ongezeko la wavulana na hata wanaume, kuonekana kuwa na matiti makubwa.
Kawaida...
Nimerudi kutoka safari ya maziko nilipomsindikiza rafiki yangu kwenye kijiji kimoja kipo wilaya ya Mahenge kinaitwa Mwaya, ni mbali kiasi kutokea Dar ambapo mnakwenda hadi Ifakara mnavuka mto...
Habari wakuu,
Juzi Ijumaa wakati natoka safari ya mbali nilikua tayari nilishaingia ndani ya jiji la Dar. Basi kama ilivyo ada ya mizunguko yangu kuna jamaa (wa nyumbani) ambae ni boda boda...
Kumekua na uonevu mkubwa sana pamoja na mazingira ya rushwa kubwa sana kwa maofisa wa tra makambako mkoa wa njombe.kwanza ukienda kukadiriwa unapigwa bei kubwa ambayo hailipiki nia yao uwatafute...
The government of Kenya finally submitted to the demand of IMF structural reforms. IMF literally now controls them and will have to oversee their budget and provide recommendation based on what...
Mji wa Bukoba ulio na watu zaidi ya laki mbili na eneo kubwa lenye makazi ya watu lakini cha kushangaza mji huu hauna route yoyote ya daladala zinazofanya usafiri ndani ya mji mbali na bodaboda...
Kama ulikuwa hufahamu basi leo utapata nafasi ya kufahamu hili la Maziwa ya mende kuwa na protini zaidi ya maziwa ya binadamu.
WANASAYANSI: MAZIWA YA MENDE YANA NGUVU MARA 4 KULIKO YA NG'OMBE...
Ni nusu saa iliyopita.
Abiria tumekaa kituo cha mwendokasi Kimara Korogwe tukisubiri mabasi ya kwenda Kivukoni/ Kariakoo/ Morocco.
Lakini cha ajabu ni kwamba yamepita mabasi zaidi ya kumi na...
Baada ya muda mrefu sasa marekani na vi baraka wake waingereza wametoa tamko kuwa Rais Magufuli ni dikteta mwingine wa Afrika.Katika mtazamo mpana zaidi,tafsiri ya kauli hii ni,"Magufuli ni mwamba...