Habari za majukumu wakuu wenzangu.
Ni historia ndefu ila nitajaribu kuipunguza kidogo.
Ilikua mwaka jana maeneo ya ferry Kigamboni baba mdogo alikua ameshauza samaki wake na kumalizia kufunga...
Nairudia tena hii yake mwijage, bado natamani kupata insight ya kilichomsibu yeye na 'Mwalimu',. Nakisoma tena. Tujatibu kubadilishana mawazo, wale wanaoshangazwa na 'haya ya awamu ya 5'...
1. Jina mwanaume/mwanamke alietoka nae kabla yako...ulijiue ili nini? Sababu hilo jina utalichukia daima
2. Ametembea na wanaume/wanawake wangapi? Hawezi kukuambia ukweli never...
3. Usipende...
Basi la Kampuni ya New Force ambalo lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dar es salaam limepata ajali maeneo ya Iyovi, karibu na Mikumi kwa kugongana na gari ndogo.
Kwa taarifa za awali zinasema...
Kama Kristo asinge kufa msalabani ukombozi wa Mwanadamu ungekuwa si kitu lakini kwaajiri ya Ushujaa wa Yuda kutimiza ukombozi wetu kwa kusaliti ili kutimiliza Agano Yuda ndie Shujaa mkuu wa...
Hivi unajua kwamba mpaka sasa japo kuwa maendeleo ya kisayansi na teknolojia kuwa ya kiwango cha juu bado sayansi haijaweza kuthibitisha kwa hakika kuna sayari ngani kwenye mzunguko wetu wa Solar...
Ili jambo dogo sana mbona Kuna kitu kinaitwa MOU ipo hadi mishahara ya bure inaliwa haya hamyaoni?
Jamani this is our country aise....zile kumbi unaweza kufuata taratibu na ukafanya...
Zimepita wiki mbili toka nilete uzi kuhusiana na kesi ya kusingiziwa wizi na mshitaki wangu kulazimisha nimlipe hata nusu ya gharama ili kesi iishie polisi.
Kutokana na kuwa na ndugu huko polisi...
Kampuni ya Apple imependekeza emoji emoji ambazo zitawakilisha watu wenye ulemavu
Katika mapendekezo yao waliyoyatuma Unicode Consortium ambayo inasimamia viwango vya emoji, Apple wamependekeza...
Akhsante tumeuanza mwezi huu wa Nne ( April ) ambao tunaweza kuona yafuatayo:
Aina mpya za Silaha
Ulengaji mzuri wa Shabaha
Waliochoka
Wenye roho mbaya na ukatili
Waoga ila wanung'unikaji wa...
Watanzania wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wavivu sana na kupenda kufanyiwa kazi tofauti na miaka ya nyuma na kulalamika tu maisha magumu wakati kila kitu kipo ila hawataki kufanya kazi...
wataalamu naomba mnisaidie je ni watu wenye hadhi gani na mamlaka yapi ya kuitisha Press Conference ikakubalika bila kuwa na vikwazo vya polisi , Je raia wa kawaida anayo hayo mamlaka ya...
Sometimes kina mama tuna roho ngumu sana jamani,
Leo majira ya sita sita ivi mchana kimfuko cha plastic kilidondoka ktoka ghorofa ya juu,
LA haula kutua chin tunaona damu na kimfuko kikapasuka...
Nichukue fursa hii kuwatakia watanzania wote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Pasaka ni sikukuu ya ufufuko wa Yesu Kristo Mwana wa Mungu aliye hai.
Mnamo miaka zaidi ya 2000 iliyopita nyakati Kama hizi...
Habari waungwana!. Mi ni mwenyeji wa mbeya yaan kwa sasa naishi mbeya mjini hapa.
Nimetokea kupenda kuishi Mtwara au Lindi kwa miaka mingi sana,nataman kuishi katika moja ya vijiji vilivyopo...
Kuna mambo mengi sana yananikwaza sana maishani mpaka nakosa amani na furaha ya moyo. Hakika ni mengi lakini hili ni zaidi
I hate / nachukia umasikini jamani
UMASIKINI. UMASKINI...
Hawa jamaa ni wezi sana wamenilia pesa zangu nyingi sana ,kama nikishinda basi ni buku moja tu basi .
Mpaka sasa nimeshaliwa zaidi ya elfu hamsini na niliwahi kushinda buku mara moja tu basi...