Kabla ya Shein kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais alitabiri kuwa makamu wa rais atakuwa mweupe na sura ya mviringo. Niliona jamaa bonge la mtabiri kumbe ni mtu wa kitengo. Watu wa dizaini hii ni hatari sana. Anaweza kumtabiria mtu kifo kumbe wameshamtarget.Hahaha.Mwijage anakwambia Sheikh Yahya alikuwa agent wa serikali. Anajifanya kutabiria watu, kumbe anachukua data na kupeleka serikalini.
Mkuu nimekipenda hicho kitabu vp unaweza kukiweka hapa kwa faida ya wengiNairudia tena hii yake mwijage, bado natamani kupata insight ya kilichomsibu yeye na 'Mwalimu',. Nakisoma tena. Tujatibu kubadilishana mawazo, wale wanaoshangazwa na 'haya ya awamu ya 5', tujikumbushe since 1960s sio mageni kwa 'wengine'.View attachment 730677
Google "The Dark Side of Nyerere". Kitabu kipo free online zaidi ya miaka 10.Tuwekeeni hapa soft copy ili tuweze kuchangia.Otherwise, tutakuwa tunapiga porojo tu.
Okay sawa coz title haikueleweka hapo.Google "The Dark Side of Nyerere". Kitabu kipo free online zaidi ya miaka 10.