Mweleze Mungu jambo moja tu siku ya leo

Mweleze Mungu jambo moja tu siku ya leo

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
Naungana na Mtunga zaburi...
"Jambo moja moja nimelitaka kwa bwana, nalo ndilo nitakalolitafuta, nikae nyumbani kwa bwana siku zote za maisha yangu,Niutazame uzuri wa Bwana, na kuutafakari hekaruni mwake "
Zaburi 27:4
 
Hivi kwa jinsi anavyoelezewa alivyo, hawezi kulijua mpaka umweleze?
 
Nakushukuru Mungu kwa uhai nlonao, asante kwa kuzidi kunipa nafasi ya kuishi sio kwamba mimi ni mwema sana bali ni kwa neema tu! Naomba toba na rehema kwa ajili yangu,wazazi wangu, ndugu zangu, majirani zangu, rafiki zangu na Taifa kwa ujumla! Tusamehe na ututakase kwa damu ya mwanao Yesu Kristo inenayo mema. Ikanene mema katika katika maisha yetu ya kila siku! Asante Mungu kwa kuwa naamini utatenda, Amen!!!
 
Jamani shem umeambiwa jambo moja tu ila umeandika walaka [emoji16]..

Ila sio mbaya Mungu abariki maombi yako. Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom