Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Nipo zangu mitaa ta darajani Zanzibar katika kupita pita nikaona kuna kikundi cha watu kimezunguka kwa wingi.
Nimejaribu kuulizia nikaambiwa wameliamsha dude wao kwa wao.
Baada ya hapo wakajitokeza polisi wa jiji kwa ajili ya msaada zaidi.
Na hii pia ni habari maana najua kuna watu watauliza swali hili, kabla hamjauliza nimeamua kuwajibu mapema.
Nawakilisha.