Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,919
Kama tuna viongozi wa dini wazalendo na wanaojua wajibu wao kwa jamii,inawezekana siku ya kesho mahubiri yao yote yakaongelea jambo moja na si kwa kupanga iwe hivyo,bali kwasababu kila mmoja wao atajiona ana wajibu wa kulisemea.
Kila atakaehubiri atatumia maneno yake lakini natarajia wote ujumbe wao utafanana.
Viongozi wa dini timizeni wajibu wenu, msisahau the ealier the better na kinga ni bora kuliko tiba.
Kemeeni panapostahili kukemewa,kosoeni panapostahili kukosolewa,pongezeeni panapostahili pongezi,sifieni panapostahili sifa na zaidi mtende haya kwa wakati bila kuchelewa na bila kumuogopa wala kumuonea mtu.