Snake Parks hapa Tanzania huwa kuna Koboko na Cobra?

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Heri ya Sikukuu ya Kufufuka Bwana wetu Yesu Kristo!

Naomba kuuliza kitu.

Snake Parks kule Dsm Arusha Bagamoyo na Zanzibar hivi kuna hawa nyoka wakali na hatari Cobra na Koboko? Na huwa wanawandle vipi?

Nawasilisha.
 
Njoo Mikumi ukitaka kuenjoy
 
Mkuu hao wapo sanaa
Koboka/black mamba nishamuona sabasaba kitambo.
Mnyama hatari sana uyo
 
Back
Top Bottom