Wadau, Katika Hali ya kutaka kuinusuru kampuni ya Africa Media Group ambayo ipo hoi kiuchumi. Mmiliki wa Azamtv na makampuni ya SSB, Salim Bakhera ameanza rasmi mazungumzo mazito na mmiliki wa...
ukitazama hii picha inatoa tafsiri nyingi juu ya mwalekeo wa upinzani siku za mbele lakini kubwa zaidi muamko mkubwa wa siasa za upinzani kwa kinamama na kupungua muamko kwa kinababa
Leo katika hafla ya usimikaji wa RADAR, nimeona jambo ambalo sikuelewa dhamira ya Mkuu wa Mkoa wetu ilikuwa nini. Amemtambulisha Diamond na meneja wake kana kwamba wana umuhimu mkubwa zaidi ya...
Serikali ..inabidi iangalie gharama ...inazotumia ...kumlisha mahabusu ...kwa muda wa miaka mitano hadi 7 wakati akiwa anasubilia kesi yake.
sasa hivi gerezani Asilimia 65% ni kesi za...
Hili ni swali fikirishi nimelileta kwenu wana Jamii forum.
Naomba tujadili hapa hili Neno "Mzalendo" maana kuna sintofahamu nyingi sana kuhusu hilo Neno.
Mzalendo wa kweli anatakiwa kuwaje? Je...
Hata kama fedha za Ujenzi wa Makao Makuu ya Wilaya Bumbuli zimerudishwa hazina kwa amri ya Rais(au laisi ukipenda)...
Lakini kwangu mimi moja ya sifa kuu za viongozi bora waliowahi kutokea...
Wote walio na uzoefu na hii kitu kama kichwa cha habari kilivyo jieleza hapo juu, Tafadhali nisaidieni zile kanuni na sheria ambazo laazima mgeni & mteja akiingia azifuate.
Habarini za jioni wadau,
Bila kupoteza muda niwashukuru sana wale waliojitoa kunipa ushauri nini cha kifanya. Jana nilileta uzi hapa wa kuhusu mkopo wangu deni kuongezeka.Huu ni wizi mpya NMB ama...
Ndugu watanzania wenzangu kuna swali linanisumbua lkn Sina majibu,naombeni mnisaidie majibu tafadhali
Swali je,kati ya maaskofu na wasanii wa bongo fleva ni kundi lipi linaheshimiwa zaidi na...
Wapendwa. Tujihadhari sana tuingiapo gesti na vimada. Kuna gesti Dar zina cctv. Ukiingia tu na kuanza mchezo wako mhudumu anawaita rafiki zake wakuone unavyofanya huku wakikurekodi. Inasikitisha...
MNAO AMINI KATIKA UCHOCHEZI IKATOKEA NIKAPATA ULEMAVU WA MIGUU AU MIKONO MTANISAIDIAJE
Kwa hizi vurugu mnazochochea
Kwa hoja kamili nijibuni ili nipate kuelewa maana kila mtu anaongea mengi...
Mimi ni mkazi wa Kitunda Mwanagati maeneo ya kwa Mfipa. Mimi napenda sana amani ikiwa ni msingi wa maendeleo ya kila eneo.
Sasa huku kwetu kuna vijana wengi mida ya jioni huwa wanajikusanya...
Ninaomba kwa wanaojua tu baada ya kukamilisha documents zote pesa huingia baada ya muda gani kwenye akaunti ya mhusika? nina mwezi mmoja na nusu sasa toka nimekamilisha na pesa sijapata mpaka...
Habari zenu wadau wa JF. Naombeni msaada, Sijawahi fika wala kupita Lindi mjini. Hata hivyo sasa nimepata fursa ya safari ya kwenda Lindi mjini kwa shughuli maalumu mwezi wa April mwishoni. Naomba...
natafuta kiwanja maeneo ya pugu kajiungeni, mpakani, kiwanja kiwe si mbali sana na barabara kuu na kiwe kinapitika, kiwe na umiliki unaoeleweka.
naomba kuwasilisha
Aliissisitiza sana Mtume Mohammed S.W ...
Tupo kwenye kipindi cha mpito
Masheik na Maimam acha wafu wazikane wenyewe...
Nilikuwa najiuliza y mko kimya kumbe busara inawaongoza. ...
Kwa mujibu wa uislamu ni marufuku kwa sababu hayo ni mapambo ya wanawake..
Na hata katika mazingira tuliyonayo ukiona mwanaume anapenda urembo urembo na madhahabu huyo mwisho wake ni ushoga...
...
Do not trust anybody concerning with your children, whether, your neighbors, friends, remedial teachers, relatives, or housemaids, make regular follow-up, monitor your child. There are many cases...