Rangi ya maji ya bahari ipi?

Rangi ya maji ya bahari ipi?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,028
Uwa inanivuruga sana sometimes bluu,nyeusi na usiku inakuwa kama rangi ya bati mpya....
Wasomi nisaidieni...
 
Babari ipi yenye unataka kujua rangi ya maji yake....[emoji45] [emoji45]
 
Uwa inanivuruga sana sometimes bluu,nyeusi na usiku inakuwa kama rangi ya bati mpya....
Wasomi nisaidieni...
Ukiona rangi ya Blue, hapo ujue umekula ukashiba.
Ukiona rangi nyeusi, hapo ujue (una njaa) ulilala bila kula.
Ukiona inang'ara usiku, hapo ujue wewe ni jobless (hupati usingizi) ndiomaana unakaa nje usiku mwingi ukiwa na mawazo ya kesho utapataje kazi.
 
Maji hayana rangi chalii.ukiona bluu ujue inaakisi kutoka angani
 
Wapo wengi hawaijui bahari hasa watu wa kanda ya ziwa,arusha na kilimanjaro
Wewe katika kusoma kwako kwa level zote ulizonazo/ulizopitia uliwahi kusoma/kujifunza kuwa maji yana rangi gani?
 
Maji hayana rangi chalii.ukiona bluu ujue inaakisi kutoka angani
To uthibisho mkuu...na usiku kuanzia saa6 yanakuwa na rangi ya bati hapo unasemaje yanaakusi wapi?
 
Back
Top Bottom