Wangewashika Bongo flava na Bongo movie badala ya Viongozi wa Dini!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,782
Kama wangekuwa ni wajanja na wangekuwa na nia ya kutikisa nchi basi kwa maoni yangu wangewashika Bongo flava na Bongo movie hao ndiyo ambao wangeweza kuamsha halaiki ya Watanzania na kuingia barabarani lkn siyo Askofu sijui Pentekonste, tec, mara kkkt , hao hawawezi kitu, lkn ukimshika Mondi akaamua kukinukisha utajaza barabara, ...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom