MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 630
Kwa asilimia kubwa wabongo tunatumia mitando ya kijamii kutukana (hasa kipindi hiki cha Magu), kutupia picha za hovyo, kujisifia kwa kutupia mapicha kwenye facebook/insta (mfano mtu kila akivaa nguo nzuri, au yupo nje ya nchi mfano UK au kwenye ndege au yupo anakula msosi mzuri kwenye hotel nzuri nakadhalika, basi kila sehemu anapiga picha na kutupia facebook/insta ili ajioneshe na kusifiwa).
Mwingine akinunua gari au kajenga nyumba bas anapga picha na kurusha fb aonekane naye yumo! halafu chini anaandika " Alhamdulillah=namshukuru Mungu ". Sasa ndugu yangu,Mungu anashukuriwa mtandaoni ili watu wa-comment shukrani yako? Au ni kutaka kujionesha?
Tuacheni ulimbukeni !
Tumia mitandao kwa manufaa! Hasa kujielimisha mambo mbalimbali .
UPDATES:
Mojawapo ya jambo linalokwamisha maendeleo ktk nchi yetu ni uvivu na kupoteza muda hasa katika mitandao ya kijamii kwa kutupia vitu visivyo na faida kiuchumu, kielimu, kijamii, n.k hasa misifa mingi ktk mitandao ya kijamii.
nyote mnaopinga thread hii naona mnatetea upuuzi tu usio na maslahi kijamii au kitaifa kwa ujumla.
WE UTAWEZAJE KUSEMA HUFANYI HALAFU UNAPINGA THREAD HII??. HATA KAMA VOCHA/KIFURUSHI/SIMU VYOTE VYAKO!!! HUU UPUUZI HAUFAI. KAMA UNASEMA VOCHA/KIFURUSHI/SIMU VYOTE VYAKO HIVO TUSIKUPANGIE MATUMIZI ,MBONA NABII TITO YUPO SERO? AU TUMBO ALILOTAKA KUCHANA SIO LAKE!!