nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,539
- 8,270
Nimejaribu kuchanganya na zangu baada ya kuambiwa sana. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wengi wetu tulikua tunategemea matunda kabla ya kupanda au baada tu ya kupanda mwembe.
Ili ulile embe lililoiva alafu ndo kwanza unapanda mwembe, basi itakubidi usubiri miaka kadhaa. Suala la subira ndilo linaloyushinda watanzania tulio wengi.
Leo nataka kwa pamoja tuuzungume ubaya wa magufuli kwenye haya machache tu ambayo nayaona yanakuja kuwa na manufaa huko mbele. Tusitangulize siasa wakati tunajadiri haya mambo
1. Train
2. Ndege
3. Barabara zinazojengwa kila kona kwa jiji la dar hivi sasa kuunganisha barabara kuu. Sijui mikoa mingine
4. Ukuta wa kuzunguka mgodi
5. Nyumba za polisi
6. Kuzuia usafirishwaji wa makinikia
7. Bandari kutokua lango kuu la wizi
Kwa upande wangu nimeyataja hayo machache ambayo naona yana mwanga huko mbele
Jazia yakwako ili twende sawa.
Kuanzia sasa nimeamua kuwa upande wa magufuli. Naiona kesho ya Tanzania ikiwa na matumaini.
HAPA KAZI TU MAGUFULI KANYAGA TWENDE