pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Maonesho ya polisi mjin arusha wamefeli kulipua bom walilotega wenyewe kwenye maonesho imebid jamaa aende tena na manguo yake ya kuzuia mabomu.. ngoja tuone
Usikurupuke bob mi naangalia hapa..limegoma wakatega tenaAcha uongo
Ilikuwa sehemu ya burudani ama?Maonesho ya polisi mjin arusha wamefeli kulipua bom walilotega wenyewe kwenye maonesho imebid jamaa aende tena na manguo yake ya kuzuia mabomu.. ngoja tuone
Angalia tvKUna manguo ya kuzuia mabomu? Hilo Bomu au Baruti? Isijeikawa unatumia tafsida na fasihi mkuu
Kwa taarifa zao.. ni maonesho cjui so hawawez kutumia bom live..KUna manguo ya kuzuia mabomu? Hilo Bomu au Baruti? Isijeikawa unatumia tafsida na fasihi mkuu
Duh! kwahiyo hukuona kama mwanzo limegoma jamaa akaenda kutega tena...Mbona tyr mr
Azam 2Kumbe unaangalia TBC!
Shida umeweka mentality ya kukosoa sana badala ya kuangalia na kujifunza.Duh! kwahiyo hukuona kama mwanzo limegoma jamaa akaenda kutega tena...
Kumbe unaangalia TBC!
Maonesho ya polisi mjin arusha wamefeli kulipua bom walilotega wenyewe kwenye maonesho imebid jamaa aende tena na manguo yake ya kuzuia mabomu.. ngoja tuone
CNN?Angalia tv