Ndugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu akiwa Gavana wa Benki Kuu hali haikuwa kama tunavyoiona sasa. Kwa kwelihali inazidi kuwa mbaya. Tutakukumbuka sana Prof. Ndulu.