Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wakuu Kwanza nakiri hadharani mimi ni mmoja wa wamiliki wa wa magari mawili aina ya coaster(almaarufu coaster za misiba) Gari zangu zote mbili zinapaki eneo la ubungo external karibu na...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Tafadhali Mods uzi huu niliubandika mkaubandua, nimeondoa labda yale yaliyowafanya muubandue, na kuacha mtazamo na maono binafsi tu, tafadhali naomba msiubandue tena ... Nimewasilisha mawazo yangu...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Haijajulikana hasa kilichompeleka kama ni hili zoezi linaloendelea la kuwasaka baba halali au ana biashara zake nyingine. Niishie hapo!
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar ndugu zangu wanaJF Naomba kuuliza hiv km mwanaume amemtelekeza mtoto na akaambiwa na mahakama anatakiwa kutoa child support..hivi ukomo wake n miaka mingap ya kutoa child support. Maana...
2 Reactions
0 Replies
805 Views
Tumekuwa na mifumo miwili miwili hasa upande wa vyuo. NACTE na tcu. Pia nimeona kozi zinazotolewa na NACTE kwa mfumo wa NTA levels na tcu ambao hawatumii mfumo huu. Naomba kueleweshwa tofauti za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa sizungumzii shamba pori au shamba ambalo halijaendelezwa miaka na miaka. Kuna sisi tunaomiliki viwanja vilivyopimwa au visivyopimwa lakini vimegeuka msitu mdogo. Vimekuwa maficho na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dunia ya Leo watoto wengi sana ni wa nje ya ndoa.. Ndugu zangu wakristo wao hawana shida sana wanawapokea na ni fahari kwao. Watoto wanapewa haki zote km watoto wao... Katika jamii za kiislamu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mtu yuko single sasa hivi. Kuna mtu ameolewa na kusubiri miaka 10 kabla ya kupata mtoto..wakati kuna mtu amepata mtoto ndani ya mwaka wa kwanza wa ndoa Au, kuna mtu amemaliza degree akiwa na...
2 Reactions
1 Replies
910 Views
Nilikuwa napenda sana michango ya kibwana Dachi wa Magic Fm kwa sababu ya kuwa objective lakini sasa inaelekea uchambuzi wake unaanza kuegemea upande mmoja na labda ataweza kuwa Msemaji wa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nyumba 12 zilizopo kando ya Mto Msimbazi,Mtaa Majengo Eneo la Vingunguti jijini Dsm zimesombwa na Maji na huku nyingine zaidi ya 100 ziko hatarini kuanguka kutokana na Mmomonyoko wa Udongo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Matokeo ya matendo yako utayapata uzeeni Mtume Mohammad (s.aw)alisema umri wa kuishi binadamu no miaka 60 ukizidi hapo jua unatumia ziada tu.... Jamani hakuna kitu kibaya na hakikwepeki kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wajameni nchi hii ina makamanda wa polisi wa mikoa wasiopungua 30 lakini kwa siku za hivi karibuni imekuwa ni mazoea kwa huyu RPC wa Dodoma kila siku kumuona akiripoti kwenye vyombo vya habari...
2 Reactions
47 Replies
8K Views
Chama cha Wafanyakazi Wa Serikali za Mitaa (TALGWU), kimewataka Wakurugenzi nchini kufanya kazi kwa kufuata misingi ya sheria na haki za watumishi Wa umma. Kauli hiyo imetolewa leo Jumanne Aprili...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mtangazaji wa Clouds media ndugu Hassan Ngoma amesema baba yake ambaye ndiye mgunduzi wa Tanzanite bado anahangaikia haki yake ya kuweza kutambuliwa rasmi na Serikali na kufaidika na ugunduzi huo...
5 Reactions
168 Replies
20K Views
Tundu Lissu anaweza kuwa Mwafrika wa kwanza kusalimika baada ya kupigwa risasi nyingi zaidi. Alirushiwa risasi 38, risasi 16/17 zikampata. Nimejaribu kutafuta taarifa, inawezekana ni moja kati...
3 Reactions
42 Replies
10K Views
Leo nimejifunza kitu kikubwa katika kuhusanisha dini na siasa kupitia maaskofu wa Kanisa Katoliki. Askofu Ruwaichi katika mahubiri yake kuanzia mwanzo hadi mwisho hakuzungumza hata sentensi moja...
6 Reactions
112 Replies
12K Views
Naomba anuani ya katibu tawala mkoa wa dar
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Dodoma, imeripotiwa kuwa na namba kubwa ya wagonjwa wa kipindupindu kwa kipindi cha miezi mitatu toka mwaka uanze, ikiongoza mikoa yote. Ripoti hiyo ilitolewa na waziri wa Afya, Maendeleo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…