Child Support

Child Support

Eli24

Senior Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
164
Reaction score
365
Habar ndugu zangu wanaJF
Naomba kuuliza hiv km mwanaume amemtelekeza mtoto na akaambiwa na mahakama anatakiwa kutoa child support..hivi ukomo wake n miaka mingap ya kutoa child support.
Maana naona zoez la Rc Makonda linaingia dosari naona kuna mdada ambaye kwa macho yangu ya haraka haraka is over 18 lakin na yeye anadai anataka matunzo kutoka kwa baba yake ambaye amemtaja mh. Lowasa.
Kwanza huyo dada anataka matunzo gan au n mbinu ovu tu za kuwachafuwa viongoz wa zaman tu wa nchi yetu....
Omba Mungu asikupe kichwa na akili km za Bashiteee maana hata mtoto mdogo utashindwa kumlaghai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom