Mbunge wa Rombo Joseph selasini amedai kuwa hadi leo hii serikali kumuacha mkurugenzi wa gazeti la Tanzanite Cyprian musiba aendelee kutoa taarifa za uzushi,uchochezi na uvunjifu wa amani,kitendo...
Habari wakuu, nauliza msaada wenu, hivi faini ya pale bandarini kwa siku ukichelewa kuclear gari lako ni shilling ngapi kwa siku?
Naomba msaada wenu,
Kuna gari nimeagiza lakin jana ilikuwa siku...
mwezi Feb 2017 Halmashuri ya Mafinga waliuza viwanja na kuahidi watatoa hati ndani ya siku 90 na sasa umepita mwaka hawajatoa.
Kila tukifuatilia wanasema hawajapata materials za kutengenezea...
Nataka kutembelea nchi hizo mwakani kwa ajili ya utalii wa kawaida tu nikitumia muda wa wiki tatu hivi au zaidi.Nahitaji kujua zaidi gharama za maradhi nyumba za kulala wageni(siyo hotel).Hali ya...
Hodi wana jf.
Tangu zoezi la Mkuu wa mkoa Makonda kusikiliza kero za wanawake waliotelelekezwa na Watoto wao tumesikia Mengi toka kwa jamii ya watanzania
Wapo watanzania waliokosoa vikali zoezi...
Nadhani watu hutukuelewana serikali iliposema inataka kujenga Tanzania ya viwanda.
Haikumaanisha kuwa yenyewe itajenga viwanda, lahasha!!!. Serikali ilimaanisha Itahimiza wananchi na wawekezaji...
Ndugu zangu nimeona niulize. Sheria ya makosa ya mtandao inalinda image ya serikali na ccm tu? Na ni wakati gani mtu anakuwa na hatia dhidi ya sheria hii?
Katika kufuatilia nimegundua kwamba kila...
Miaka flani nikiwa form two kama sikosei, nikiwa likizo nyumbani, kukiwa na ndugu zangu na jamaa ambao wengine walikua graduate wengine wakingoja kwenda vyuo vikuu nk, kukatokea majadiliano na...
Poleni na juhudi za kusaka maisha
Naomba kujuzwa ukweli wa mambo yafuatayo kwa ambao wanaujua ukweli wake,au ni stori tu za vijiweni.
1. Kwamba umeme wa gridi ya taifa uliwahi kugoma kupita juu...
Barabarani nimeona imekuwa ni kawaida kwa wiki lazima nikute mbwa wawili au tatu wamekufa kwa kugongwa na magari na tena mara nyingine unakuta ni katikati ya mji lakini unakuta yule mbwa kila gari...
Heshima kwenu wakuu.
Nimempigia simu jana Mzee mmoja huko kijijini.
Ni muda tulikuwa hatujawasiliana tangu January yani pale mwaka mpya.
Mimi: Mzee shikamoo
Mzee: Marahaba, hujambo mwanangu...
Hivi hawa wazee wakiulizwa na watoto wao au wake zao,..'.. yule mliokua mnamuua aliiba nini..'.., sijui watajibu kitu gani... pia wakiulizwa ..'..hivi baba...wewe ni muuaji..'.., sidhani kama...
Fr. Urbadius Kidavuli aliyekuwa Katibu mtendaji Idara ya Utume wa Walei baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) amefariki. Katika hali ya kushangaza, yeye anatoka jimbo la same na hivyo kuwa ni padre wa...
Serikali inaua Private Sector hata kampuni za Wazawa kabisa. Maxcom ni kampuni iliyoanzishwa na inamilikiwa na wazawa kwa 100%. Hii inatoa picha mbaya sana kwa vijana na watanzania wenye nia ya...
During Kikwete's Era I was making more money than what I am making in Magufuli's era.
However at Magufuli's era I am saving much money than what I used to save during Kikwete's era..
In business...
Wakuu naomba mawazo yenu, nina tatizo kwenye biashara yangu kuhusu mahali nilipopanga!
Hii fremu niliichukua kwa mtu kwa makubaliano ya kurudisha kodi ya miezi iliyobaki, hivyo nililipa kuanzia...
Anaandika Doto Bulendu
Nimewauliza wabobezi wa sheria,je bunge linamuhoji Paschal Mayala kwa sheria ipi? na kwa nini hawampeleki mahakamani kama wanahisi kalikosea bunge?wamenijibu kuwa.
Kwa...
Mwili wa Mtanzania, anayedaiwa kuuawa na mume wake, Uingereza Leyla Mtumwa, bado haujafika nchini kutokana na uchunguzi kutokamilika.
Leyla, 36 anadaiwa kuchomwa visu shingoni na kifuani hadi...
habarini wanajamvi....
Mifuko ya jamii hukata mishahara ya watumishi wa umma kila mwezi kwa ajili na mafao pindi mtumishi anapostaafu na mwajiri pia huweka kila mwezi....
Hiv mafao ndo...