Serikali iliposema inataka kujenga Tanzania ya viwanda haikumaanisha kuwa yenyewe ndiyo itajenga

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,307
12,602
Nadhani watu hutukuelewana serikali iliposema inataka kujenga Tanzania ya viwanda.

Haikumaanisha kuwa yenyewe itajenga viwanda, lahasha!!!. Serikali ilimaanisha Itahimiza wananchi na wawekezaji wavijenge baada ya serikali kuweka mazingira mazuri kama vile upatikanaji wa umeme wa kutosha, Maji, usafiri, sera, na amani na utulivu nchini.

Naona watu wameshaanza kuhoji mbona hawaoni kiwanda kilichojengwa na serikali mapaka sasa.
 
Back
Top Bottom