Msaada: Basi gani zuri na uhakika toka Dar-Lusaka?

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,376
Reaction score
3,977
Wadau nina safari ya kwenda huko karibuni kwa barabara,bus gani ni zuri na nauli ni bei gani.Shukrani.
 
Directway ni Tawfiq, nauli kwa sasa sina hakika sana ila inaweza kufikia 100000/-
....
Ila kama ni mchumi na mgumu unaweza kuondoka na basi mpaka Tunduma then unagonga pass yako then unavuka na kupanda mwendokasi za upande wa pili na kupelekwa Lusaka...
 
nauli toka nakonde mpaka Lusaka in kwacha 185000 ila cjajua mabadiliko saiz ya bei
 
Hii nzuri mdau
 
Eeeeh!!!!
nauli toka nakonde mpaka Lusaka in kwacha 185000 ila cjajua mabadiliko saiz ya bei
Wewe mtu hiyo nauli nani umemuuliza na bila utafiti umekurupuka kuandika?
.....
185,000x198=?
.....
Kwa garama hiyo kwa nini mtu asikodishe ndege na ikamsubiri airport imrudishe...!!
 
usiwe mbishi kama kama una MTU tunduma mpigie cm muulize ndo utajua kama nilikudanganya ama raha na pili change kila cku znabadilika mm nmefika hko unakotaka kwenda
 
Eeeeh!!!!

Wewe mtu hiyo nauli nani umemuuliza na bila utafiti umekurupuka kuandika?
.....
185,000x198=?
.....
Kwa garama hiyo kwa nini mtu asikodishe ndege na ikamsubiri airport imrudishe...!!
tens ukitaka angalia bei za Leo wanaandika kwacha na dollar kutoka tunduma hadi Lusaka no dollars 25 hlf pigs kwa hela ya zambia au pin 240 kwacha kama ujui change za border uliza usiwe mbishi.
 
Back
Top Bottom