Naomba kujua ukweli kuhusu mambo yafuatayo

Naomba kujua ukweli kuhusu mambo yafuatayo

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,208
Reaction score
3,609
Poleni na juhudi za kusaka maisha

Naomba kujuzwa ukweli wa mambo yafuatayo kwa ambao wanaujua ukweli wake,au ni stori tu za vijiweni.

1. Kwamba umeme wa gridi ya taifa uliwahi kugoma kupita juu ya kaburi la chifu maarufu huko iringa,chifu kiyeyewu...ikawalazimu tanesko kukwepesha nguzo ili kunusuru hali.

2. Kwamba kuna wanaume huwa wanabebeshwa mimba wakiikataa kwa mabinti waliowapa.

3. Kwamba sumbawanga kuna kunguru huwa wanabeba ng'ombe au mbuzi na kupaa nazo.

4. Kwamba kuna mikoa wanauza radi,yaani ile unanunua radi zako za buku tano unazitumia kiwamaliza au kutoa maonyo kwa adui zako.

5. Kwamba kuna watu walishawahi kufa wakaenda mbinguni wakaishi maisha ya huko then wakafufuka na kuja kutoa ushuhudA wao hapa duniani.

Kwa yeyote ambaye kwa namna moja au nyingine ana uhakika na mambo hayo atupe uzoefu wake,aeleze kinaganaga ilikuwaje au alishuhudia vipi.

Maana kuna stori nyingi sana zinatumix huku mitaani.
 
Mkuu tembea uone hyo yote yalitokea na n halisi ila hlo na 5 sina uhakika,kuhusu hlo namba 3 hao wazee walikuwa wawili walikuwa wanabishana Mani ana nguvu kuliko mwenzie ,mmoja akavua koti na kutundika hewani mwenzake akasema mm uniwezi akatokea mwewe akabeba ngo'mbe chini ikawa inadondoka mifupa.
 
Back
Top Bottom