Wadau serikali ilipiga marufuku uingizaji wa vifaranga, nia ni njema sana ya kulinda wajasiriamali wa ndani. Lakini tangu marufuku hiyo kumekuwa na upungufu mkubwa wa vifaranga. Mfano hivi sasa...
Kwakuwa ATCL ni shirika la umma ni kwanini deni la shirika hili lisiwekwe wazi kwa umma?
CAG kwanini asikague hili deni lote na taarifa ya kiasi cha deni na majina ya makampuni/watu binafsi...
Kuna utafiti uliwahi kusema kuwa sisi watanzania tuna IQ ndogo kuliko nchi zote za Afrika mashariki. Walidai kwenye swala la Abstract reasoning ni wa mwisho kabisa...... na concur observation hiyo...
March 21, 2018 ·
Low-cost African airline Fastjet and LAM - Mozambique Airlines, have announced the signing of an MoU to explore long-term commercial cooperation.
The MoU was signed yesterday...
Mwishoni mwa miaka ya tisini,mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi around mwaka 2014/15 maeneo ya Ubungo kuna kundi la watoto wa kihuni lililojulikana kama "Matembo".Kundi hili lilijumuisha watoto wa...
Serengeti.
Ushindani wa kunywa pombe aina mbili za Shujaa na Shimwaa umesababisha kifo cha askari mgambo, Zakayo Thomas (50) maarufu Hayaishi huku mwenzake Patrick Paul akikimbizwa katika...
Wenye magari mnapokwenda kujaza mafuta punguzeni na kuacha kila kitu mjue moja la kujaza mafuta, wenzetu sio wote Ni waaminifu. We endelea na sim yako mama geji itapanda
DOKTA. MUNGWA KABILI AELEZEA KWANINI WATU WENGI WANAKIMBILIA KUFUNGA NDOA NA MAJINI PAMOJA MAMBO YA KUFUATA KWA MTU ANAE TAKA KUFUNGA NDOA NA JINI.
Akifanya mahojiano...
Asuhuhi ya leo nilileta mada nikimsihi Mzee Lowassa apuuzue hili jambo unless ametumiwa wito maalumu lakini si achukue hatua kwa matamshi yaliyoko kwenye ile clip.
Ni bahati mbaya uzi wangu...
KWANINI MAISHA YAKO YAWE YA BAHATI NASIBU?
Ni meangalia jamii yangu inayo nizunguka hasa kwa vijana bado kuna vimbi kubwa sana la watu wanaishi basi na kujua nn kusudi hasa la kuishi na wala...
Mbunge wa Ulanga, Gudluck Mlinga ameomba Bunge kuzuia wanawake waliofika ofisi za RC DSM kudai wametelekezwa, akisema hatua hiyo ni kuwadhalilisha watoto.
Hivi kinahofiwa nini kwa hawa wapumbavu wawili kutokupambana uso kwa uso? Mpaka wanatunishiana misuli kwenye nchi za wenzao? Mrusi anataka dili la kuuza silaa, mmalekani anataka dili la kandalasi...
Zamani nilifahamu kua uwalaza/upara ni kwa wazee tu. Lakini siku hizi ni kawaida kijana miaka 20, 21, 22, 23, 24.
Kua nao je tatizo ni nini?
Na unatibika?
Huyu ni mzee aliyegundua na kuokoa kuteketea kwa makaa ya mawe mgodi wa Ngaka uliopo wilaya ya Mbinga mkoa wa Ruvuma mwaka 2006,anaomba atambuliwe na Serikali.
Benedict Mapunda (Rasha) mwenye...
Wanaharakati nchini wametofautiana juu ya utaratibu wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuwasikiliza na kuwapa ushauri wa kisheria wanawake wenye watoto ‘waliotelekezwa’ na...
Hawa jamaa waliandikwa sana kwenye vyombo vya habari bahati mbaya sikio la kufa....
Kimsingi ukiwa na tatizo la emergency au linginelo wanakupa reference number. Hapo utapewa maneno ya faraja...
Huwa najiuliza hivi nikweli wanasayansi wote duniani wameshindwa kabisa kugundua kipimo cha Tezi dume au tunafanyiana makusudi? Nadhani hii siyo fair kabisa, fanyeni mpate njia mbadala na ya...