Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mr. Ian Ferao, Managing Director Vodacom Tanzania Ameachia nafasi yake rasmi leo Pamoja na Kwamba Muda wake Ulikua Bado Kumalizika. Akiongea kwa Masikitiko Amesisitiza ni Uamuzi Mgumu ambao...
1 Reactions
57 Replies
7K Views
Mazishi ya Mapadri watatu wa kanisa katoliki jimbo la Same ambao vifo vyao vilipishana kwa siku moja moja yanafanyika katika Seminari ya Chanjare wilayani Mwanga muda huu. Viongozi wa waandamizi...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
Mwanzo mwanzoni napenda kutoa pole kwa wahanga wote wa mvua zinazoendelea kunyesha nchini, hasa wa mkoa wa Dar es Salaam. Natoa pole kwa familia zilizopoteza ndugu zao (kwa mujibu wa RC Makonda wa...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Leo nilienda kupima UKIMWI. Sasa wakati nasubiri majibu, Daktari akaniambia kwamba kuna tatizo fulani kwa hiyo majibu niyafuate kesho.Sasa wakati nataka kuondoka akaniita akanambia ''Ogende...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii ni hadithi ya kufikirika niliyowahi kuisikia (kuisoma mitandaoni na hata hapa JF) huko siku za nyuma na kwakweli nimejikuta kila siku naikumbuka hadithi hii japo ujumbe wake si mzuri ili...
3 Reactions
45 Replies
4K Views
Wadau,tujadili,je Tanzania haiwezi kuanza kuajiri na kulipa kwa masaa watumishi wake ili sote tugawane keki ya Taifa?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa Manispaa ya TEMEKE Nassib Mmbaga amesema kupitia mradi wa DMDP watajenga nyumba 500 na kuziuza kwa Wananchi kwa bei nafuu. _ Mratibu wa mradi wa DMPD Wilaya ya Temeke Edward Simon...
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari wana JF,kuna madhara yoyote yanapatikana hasa ukifanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake?
0 Reactions
2 Replies
639 Views
Barabara ya chato huko mikocheni imekatika na kusababisha magari kutoka upande mmoja kushindwa kufika upande wa pili. Source Eatv!
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu picha imeeleza kila kitu
0 Reactions
1 Replies
626 Views
Mafuriko ama mvua nyingi ni natural disaster.It's Ok! Hatuwezi kudevelop miundombinu mizuri ya ukusanyaji wa maji ya mvua (Rain Water Harvesting) na kupeleka maji kwenye mabwawa yetu ili...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
[emoji15]
0 Reactions
0 Replies
568 Views
Hivi huyu mtoto alipona kweli jamani? Nimesikitika sana mwenye taarifa wakuu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shirika la wamisionari wa Damu Azizi Kanisa Katoliki kwa kushirikiana na marafiki waliosoma katika Chuo cha Mtakatifu Gaspar kilichopo Mkoani Morogoro, wanatarajia kujenga kituo cha watu wanaotoka...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
DODOMA: Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kongwa Mhandisi Ngusa Izengo afariki dunia baada ya gari lake kuangukiwa na lori la mafuta ======== Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki...
5 Reactions
195 Replies
40K Views
Hi jf naomba anayeijua ZIP code ya Arusha anisaidie, nimejalibu kutumia ZIP codes zilizotolewa na TCRA mwaka 2013, hazikubaliwi
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Sielewi mantiki ya harakati za RC Makonda na kumsaidia mama anayeitwa Fatuma kudai matunzo toka kwa Mzee Lowassa. Sote tunaelewa jinsi Mzee Lowassa alivyodhoofika kiafya. Na umri pia umemtupa...
13 Reactions
60 Replies
8K Views
Taarfa ya iliyoeleza kuwa mitambo ya kufua umeme ya kampuni tata ya DOWANS kwa kampuni ya Kimatekani ya Symbion Power kumesababisha Mwandishi wa habari mwandamizi Bw. Timoth Kahoho awasilishe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati wa mvua, huwa ni kawaida kwa radi kutokea na kila mwaka watu huuawa katika maeneo mbalimbali duniani baada ya kupigwa na radi. Jumamosi, watu 16 waliuawa radi ilipopiga kanisa moja la...
17 Reactions
83 Replies
17K Views
Ningependa kuelimishwa. Hivi hasa ni watu gani wanatakiwa kwenda kwa Makonda kulalamika kutelekezwa; Wanawake wenye watoto wadogo chini ya miaka 18 wanaohitaji msaada toka kwa wanaume...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…