Msaada wa ZIP code ya Arusha

Msaada wa ZIP code ya Arusha

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,104
Reaction score
1,924
Hi jf
naomba anayeijua ZIP code ya Arusha anisaidie, nimejalibu kutumia ZIP codes zilizotolewa na TCRA mwaka 2013, hazikubaliwi
 
jamani mbona kimya?
Fanya hivi
1. Download hiyo PDF
2. Ikifunguka search wilaya au kata unayoishi.
3. Chukua namba utakayo ikuta kwenye column ya post code
upload_2018-4-17_16-29-38.png
 

Attachments

Kwa arusha town nadhani ni 23 ila inabid ujue KATA/VILLAGE unayohitaj mkuu. Welcm
 
Ahsanteni wakuu, nimefanikisha
 
Hi jf
naomba anayeijua ZIP code ya Arusha anisaidie, nimejalibu kutumia ZIP codes zilizotolewa na TCRA mwaka 2013, hazikubaliwi
Hazijaanza kufanya kazi, kilichofanyika ni kuweka vibao vya majina ya mitaa na nyumba kupewa namba mpya ikaishia hapo.
 
Back
Top Bottom