Amour justine Member Joined Apr 11, 2018 Posts 90 Reaction score 57 Apr 17, 2018 #1 Habari wana JF,kuna madhara yoyote yanapatikana hasa ukifanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake?
Habari wana JF,kuna madhara yoyote yanapatikana hasa ukifanya mapenzi na mwanamke aliye kwenye siku zake?
mudrah JF-Expert Member Joined Nov 17, 2017 Posts 732 Reaction score 1,989 Apr 17, 2018 #2 umejiunga jf 11/4/2018 and nabet utakuwa umezariwa mwaka 2002 au 2003
FineForever JF-Expert Member Joined Apr 12, 2017 Posts 1,777 Reaction score 2,361 Apr 17, 2018 #3 Yapo ndiyo. Swali kwako, kwanini unataka kufanya ngono isiyo salaama kupita kiasi hicho?