Itikadi yeyote bila kuwa na Elimu nayo ni Upumbavu

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
Dec 13, 2009
3,398
319
Ukweli ni kwamba Itikadi za siasa zimekula uwezo wa kufikiri wa Vijana wasomi wengi sasa wamekuwa mapoza na wasio na faida kwa Taifa hasa kwa kuwa kila jambo kwao hutanguliza itikadi ya vyama vyao kisiasa wanapotakiwa kutoa maoni na kutafuta suluhisho! Ni Mtazamo tu.
 
Ulikosa cha kuandika? Haya sasa ebu tuambie umetuelimishaje ili kuepukana na itikadi za vyama?
 
Ukweli ni kwamba Itikadi za siasa zimekula uwezo wa kufikiri wa Vijana wasomi wengi sasa wamekuwa mapoza na wasio na faida kwa Taifa hasa kwa kuwa kila jambo kwao hutanguliza itikadi ya vyama vyao kisiasa wanapotakiwa kutoa maoni na kutafuta suluhisho! Ni Mtazamo tu.

weka vitu wazi bac tukuelewe, gubu la nini sasa? sasa hapo ndo umeposti nini, hebu fafanua kwa mifano ueleweke, kama umeamua kubaki nayo rohoni ungeacha kuposti ukakaa kimya. MTAZAMO KWENYE NINI SASA???
 
Back
Top Bottom