Kuhusu psssf

lushalila

JF-Expert Member
Feb 23, 2015
283
107
Wana jamvi vipi kuhusu uunganishaji wa mifuko ya hifadhi ya jamii imefikia wapi, nasikia kuna mifuko mpya unaitwa psssf.
Kama upo tayari vipi kwa sasa MTU anayepatwa na janga anaudumiwa na mifuko upi, ?
Janga kama vile, kuachishwa kazi, kuacha kazi, kupunguzwa kazi, au kuacha kwa sababu za ainayoyote ile?
 
Back
Top Bottom