Naomba kutoa taarifa ya kupotelewa na vyeti

jumajalim

New Member
Apr 8, 2018
2
0
Habari ndugu zangu.

Kwa majina naitwa BWIRE HATARI Naomba kutoa taarifa ya kupotelewa na vyeti .kwa yeyote atakaesikia au kuokota vyeti vyenye majina hayo basi anipe taarifa au atoe taarifu kituo cha polisi .mazingira ya kupotelewa vyeti hivyo viliibiwa ndani ya begi ambapo begi liliibiwa ndan kwa kuvunjwa mlango na vyeti vikiwemo .

Mwasiliano yangu ;
0765982680
bwirehatari@gmail.com

50000 itatolewa kwa atakaye fanikisha kuvipata au kw msaada wenye mafanikio ya kuvipata
 
Back
Top Bottom