Bila shaka siku hizi ujambazi umepotea

Bila shaka siku hizi ujambazi umepotea

Ujambazi wa benki na kufuatiliwa hata ukiwa na milioni tano na kupigwa risasi hamna tena awamu hii. Nakumbuka yule mhaya lecturer chuo kikukuu aliuwawa mchana kweupe milioni tano tu
 
Huku kwetu unaibiwa kwa madawa,ukitoka tu benki wahalifu wapo na wewe.Watakusemesha hata salamu,ukiwajibu imekula kwako.Lolote watalosema ni unaitikia NDIO.Imebidi watu wawe mabubu mpaka wanafika makwao
 
Ujambazi wa benki na kufuatiliwa hata ukiwa na milioni tano na kupigwa risasi hamna tena awamu hii. Nakumbuka yule mhaya lecturer chuo kikukuu aliuwawa mchana kweupe milioni tano tu
Vipi kuhusu major jenerali aliyefuatiliwa kutoka benki na kupigwa risasi
 
Sisikii tena mambo ya ujambazi kama hapo nyuma hata wezi wa simu au bodaboda kuleta fujo barabarani kidogo hizo kesi zimepungua....hongera kwa yeyote aliefanikisha Haya kuwezekana.
Ishukuliwe technology maana njia za kutransfer hela sio lzm kwenda bank.Na ndani watu hawaweki hela
 
Sisikii tena mambo ya ujambazi kama hapo nyuma hata wezi wa simu au bodaboda kuleta fujo barabarani kidogo hizo kesi zimepungua....hongera kwa yeyote aliefanikisha Haya kuwezekana.
wapiga deal wote sasa hali mbaya hizi zama za magufuli si za jakaya
 
Haujapotea bali umepungua sana. Hongera kwa polisi kwa mbinu hiyo ya kuwaondoa duniani haraka wale wanaokutwa site wakifanyanya ujambazi badala ya kuhangaishana nao mahakamani. Keep it up our police.
 
Back
Top Bottom