Mwanza: Daraja la Kanganye-Mecco Wilayani Nyamagana lakatika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Mvua zinazoendelea kunyesha zimeharibu miundombinu ya barabara ya Kangaye-Mecco wilayani Nyamagana pamoja na kukata mawasiliano ya Daraja kati ya Buhongwa Jijini Mwanza na Kijiji cha Mwasonge wilayani Misungwi na kusababisha wakazi wa maeneo hayo kuvuka kwa kutumia usafiri wa Mitumbwi.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom