Chahali sasa yuko na post za kutoa elimu kwa umma...safi sana

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
Evarist Chahali‏Verified account @Chahali
1. [HASHTAG]#JeWajua[/HASHTAG] kuwa Tanzania yenye wanyama pori zaidi ya milioni nne ndo inaongoza duniani kwa kuwa na idadi kubwa ya wanyamapori kwa kila kilomita ya mraba? [HASHTAG]#ElimikaWikiendi[/HASHTAG]
DcaylQ9WkAA09hM.jpg


2. [HASHTAG]#JeWajua[/HASHTAG] kuwa Tanzania ndo nchi yenye mti unaotoa mbao ghali kuliko zote duniani; mti wa MPINGO unaojulikana pia kama "African Blackwood trees."? [HASHTAG]#ElimikaWikiendi[/HASHTAG]
 
Safi sana wakati mwingine hebu tuweke kando siasa

Kwa kweli mnatulazimisha tu kuchangia siasa
Acha nimfollow tu kwa sasa kwa hizi mada
 
Back
Top Bottom