maiti bado zaibuka maeneo ya chumbe!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maiti bado zaibuka maeneo ya chumbe!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by HeartBreak, Aug 5, 2012.

 1. HeartBreak

  HeartBreak JF-Expert Member

  #1
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Leo mida ya saa 11:30 jioni tukitokea dar na mv. Kilimanjaro kuja znz tuona maiti ya mwanaume ikiwa inaeleya kwenye bahari kuu maeneo ya chumbe..msafiri kafikiri...!!! Maiti nyingi sana zitakuwa bado ziko chini na inavyoonekana kila bahari inavyo chafuka maiti zinaibuka!!!
   
Loading...