Kamanda wa polisi mkoani Tabora Kamishina Msaidizi Mwandamizi Wilbrod Mutafungwa amesema kuwa,katika kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimampenzi,Jeshi hilo linamtafuta mtu mmoja aliyemtaja kwa...
Mahakama ya wilaya ya mbozi imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikinikabili kuhusiana na tuhuma za kufanya uchochezi. MUNGU mkubwa asante wakili Boniface mwabukusi
Dodoma. Pango la jengo la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linalotumiwa na Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam limeibua mvutano miongoni mwa wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC)...
Nakumbuka kauli hii ilitolewa na Rais wa awamu ya nne wa Tanzania, DK JAKAYA MRISHO KIKWETE wakati akiongoza harambee ya kuchangia shule ya sekondari Lindi, Mkoani Lindi, ambayo iliteketea kwa...
Wakuu,
Nasikiliza kipindi cha " Power Breakfast " cha " Clouds FM ". Nimesituka kumsikia mtangazaji Babra Hassan akisema kiswahili ni lugha yetu mama.
Kwangu mie lugha mama zetu ni...
Wakuu, katika upekuzi wangu nimekutana na shule kuhusiana na hili, nikaona sio vibaya kuwashirikisha na nyie ndungu zangu.
Kuna hili eneo linaloitwa Nasolabial Triangle, ambalo lipo katika uso wa...
Habari Wakuu,
Hakuna kitu kinachozungusha au chenye kero kama Polisi Report. Yaani watakuzungusha hadi unyooke, labda utoe rushwa.
Polisi wana tabia mbaya sana, unaenda ukiwa na tatizo...
Moja ya ndege ambazo Rais Magufuli amekuwa akizipigania katika kufufua shirika la ndege Tanzania ikiwa katika hatua zake za mwisho mwisho kukamilika na ni matumaini kuwa itaingia nchini kabla ya...
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Morogoro (TAKUKURU), imewapandisha kizimbani watuhumiwa wawili wa Serikali kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya rushwa na uhujumu uchumi...
Wakuu mimi sasa nimeanza kupata wasiwasi wa tafsiri ya TB Joshua kuja Tanzania mpeku utadhani anaenda msibani. Tena alipokelewa kwa mbwembwe na JPM ila hakushiriki katika kuapiswa kwake.
Wale...
katika mweiz huu mtukufu wa ramadhani kwa waumini wa kiislamu hua wanafunga, kwa yule mwenye uwezo na afya njema, nakwa wale ambao hawana uwezo na afya njema hawafungi ila kuna baadhi ya mambo...
Kulikuwa na HUIMA (CASFETA),UKWATA na TYCS wakati tukisoma.
Sisi wengine tulio katikati, wakati mwingine tulienda UKWATA sbb ya kuimba Mapambio na nyimbo za kusifu.
Kukesha ktk sala na usiku wa...
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda" fulani cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue Songwe maana kusafirisha mboga mboga (mnafu na...
Serikali ya Mkoa wa Mjini Magharibi imesema itawachukulia hatua za kisheria wafanyabiashara wenye migahawa wanaouza vyakula mchana kwani tayari imeshapiga marufuku uuzaji wa vyakula kipindi hiki...
Kutoka ukurasa wao wa f/book ni zaidi ya saa1 imepita ndege ikiwa na abiria 239 imepoteza mawasiliano na haijulikani iko wapi. Ndege hiyo ilikuwa na abiria toka nchi 13 tofauti, fuatilia...
Habari za wana JF
Haka ka msemo kana beba maana gani? je ni ile ile inayokusudiwa kwenye kamusi za kiingereza au kana maana nyingine?
Naomba kujuzwa tafadhali.
Wakuu umofia kwenu,
Mtakumbuka toka Kifo cha Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza ndugu Lebaratus Barlow uchunguzi ulifanyika sijui uliishia wapi.
Katika mishe mishe zangu Mkoa wa Mwanza(Soma JIJI)...
Mungu awe nanyi wakubwa
Mwaka Jana Tuliona Mtanzania mwenzetu ambaye alipatwa na matatizo, hapa urusi, na matatizo yake yasingejulikana kama si Lugumi, kwanza tumshukuru Lugumi sintofahamu zake...