Seriously! Ndege za mizigo zitue uwanja wa Songwe?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,464
Reaction score
40,267
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda" fulani cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue Songwe maana kusafirisha mboga mboga (mnafu na kabeji) Ulaya ni bei ghali sana. Duh!
 
Attachments

Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda fulani ya Cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue songwe maana kusafirisha mboga mboga ulaya ni bei ghali sana. Duuh!
Hujasomeka ndugu
 
hahahaha. Serikali haipangi ndege zitue wapi, ni nguvu ya soko. Soko likiamua hata 'kwetu' ikungulyabashashi zitatua. Serikali yenyewe inajenga kiwanja tu, then soko linaamua.
 
Mwenye kiwanda kumuomba mkuu wa nchi ndege za mizigo kutua Songwe zikabebe mboga-mboga
 
Mkuu Joshua acha basi kumuonea wivu Dada yetu Hadija Jabir.Wewe nawe njoo na kitu chako badala kukatisha tamaa wale wanaothubutu!
Uthubutu wa kuomba ndege za mzigo zikabebe MNAFU Songwe Airport?
 
Yule Dada ana mashamba makubwa sana ya mbogamboga.Jaribu kumfuatilia .Huenda pia eneo hilo kuna wakulima wengine wa aina yake!
 
Ndio ziweza kutua songwe. Kama Boeing 787 inaweza kutua au ndege vita zinatua zinatua. Basi ndege za mizigo ziweza kutua. Alikuwa sahihi sana Wewe ndiyo ujui.
 
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda fulani ya Cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue songwe maana kusafirisha mboga mboga ulaya ni bei ghali sana. Duuh!
Unaufahamu uwanja wa songwe au una isikia
 
Tukipata fursa ya kuongea na viongozi tuulize maswali yenye tija. Leo hii, yupo "mwenye kiwanda fulani ya Cha mboga-mboga anaomba ndege za mizigo zitue songwe maana kusafirisha mboga mboga ulaya ni bei ghali sana. Duuh!
Wewe unaifahamu hiyo biashara ya mboga? Au unafikiri ni kama zile za Kariakoo!

Kwa taarifa yako, kuna ndege za mizigo toka Ulaya zinafuata maua Arusha!
 
Kwa mzigo upi ndege zitue Songwe? Arusha/Moshi kuna wakat inabid kutumia Jomo Kenyatta International Airport maana KIA mzigo mdogo wa kuleta ndege za mizigo. Leo mtu anakurupuka anaomba ndege za mzigo Songwe. Ptuuu!
 
Ndio shida ya kutaka kujua jambo wakati tayari una majibu yako moyoni! Huwezi amini anachoongea mwingine!
 
hahahaha. Serikali haipangi ndege zitue wapi, ni nguvu ya soko. Soko likiamua hata 'kwetu' ikungulyabashashi zitatua. Serikali yenyewe inajenga kiwanja tu, then soko linaamua.
Ndo maana kutokana na soko ndege zinatua sn chato
 
Back
Top Bottom