Ifahamu Nasolabial Triangle ; eneo hatari katika mwili wa binadamu

Ifahamu Nasolabial Triangle ; eneo hatari katika mwili wa binadamu

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,047
Reaction score
51,210
Wakuu, katika upekuzi wangu nimekutana na shule kuhusiana na hili, nikaona sio vibaya kuwashirikisha na nyie ndungu zangu.

Kuna hili eneo linaloitwa Nasolabial Triangle, ambalo lipo katika uso wa binadamu, na jiografia yake inaanzia katika kingo za mdomo na kwenda mpaka sehemu ya juu kabisa ya pua karibia na paji la uso.

Eneo hili kutokana na mfumo wa mwili inapatikana mishipa ambayo inakwenda moja kwa moja katika bongo na fuvu la binadamu.

Eneo hili ni nyeti sana kwakua endapo maambukizi yoyote yakitokea yanapeleka madhara ya haraka na moja kwa moja kwa ubongo na fuvu la kichwa cha binadamu.

Wataalam wanaliita hili eneo Triangle of death, kwani madhara yanayopatikana hapa huweza kupelekea mgonjwa kuaga dunia ndani ya muda mfupi.

Kutokana na sababu hizo, wataalam wanatuonya kwamba endapo kutatokea jipu katika maeneo hayo, haitupasi kulitumbua, bali kuliacha jinsi lilivyo kwani, kitendo cha kulitumbua kinaweza pelekea maambukizi ya kibakteria yatakayoshambulia ubongo ama fuvu la binadamu hivyo kumletea madhara mhusika.

Nakaribisha , ufafanuzi wa kina toka kwa wataalam.
 
Hata inzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asari.kumbe wapo Uvccm wenye akili kdg?
 
Danger_triangle_of_the_face_diagram.jpg
 
What happens when you pop a pimple in the triangle?
If you pop a pimple within the danger triangle, the skin can become infected and this infection can permeate these blood vessels. If that happens, the veins that run behind your eye sockets may form a clot to contain the infection. That clot puts pressure on the brain, and can lead to paralysis or even death.
 

Attachments

  • upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    1.7 KB · Views: 38
  • upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    1.9 KB · Views: 38
  • upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    3.1 KB · Views: 39
  • upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    2.7 KB · Views: 38
  • upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    upload_2018-5-24_12-58-53.jpeg
    2.1 KB · Views: 36
Ndio maana uchumi wetu umeshuka sana, ni kwasababu ya eneo hili hatari.
 
Back
Top Bottom