Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,709
- 1,735
Wakuu,
Nasikiliza kipindi cha " Power Breakfast " cha " Clouds FM ". Nimesituka kumsikia mtangazaji Babra Hassan akisema kiswahili ni lugha yetu mama.
Kwangu mie lugha mama zetu ni Kinyamwezi, Kizigua, Kingoni, Kisandawe, Kifipa, kwa kuzitaja chache. Kiswahili ni lugha ya taifa. Sawa na Kiingereza au Kifaransa kwa baadhi ya nchi tawaliwa.