Hivi TTCL mna nini?

Gomez Luna

Senior Member
Mar 13, 2017
187
250
b4af8a92aa8a5cba7ada432baf50b9e5.jpg


Wakuu jamani hii network ya TTCL mbona siielewi yani kila baada ya Dk. 10 network inakata yani mpaka utoe line halafu uirudishe tena.
Juzi mpaka nikashindwa kutumia zile 10GB zao za usiku kutokana na mtandao kukatika katika.

Naomba mnijuze wakuu hii ishu ni kwangu tu au na nyie inawakumba maana nishachoshwa na hii kitu.
 

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,898
2,000
Huku Masaki haisumbui. Usiku huu hadi asubuhi hii ndo naitumia na speed ni nzuri sana.
 

Ty_Vigilante

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
2,733
2,000
Mmmhhhh hata Iringa pia inazingua vibaya mno, yaani kuna saa hakuna network kabisa.! Nadhani wanahitajika kurekebisha mitambo au minara yao ili kulinda soko baina yao na mitandao mingne, Moreover wako vizuri kwenye internet, tusiache kuwa support hili ni shirika letu watanzania.
 

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,809
2,000
Mtandao unazingua sana upande wa 4G hadi utumie 3G kidogo inatulia ila hiyo zima washa simu kila dakika
 

Dengue

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
1,809
2,000
Hadi leo hii hawa jamaa naona wanazingua sijui huko maeneo mengine. Mimi niko Dar
 

Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,389
2,000
b4af8a92aa8a5cba7ada432baf50b9e5.jpg


Wakuu jamani hii network ya TTCL mbona siielewi yani kila baada ya Dk. 10 network inakata yani mpaka utoe line halafu uirudishe tena.
Juzi mpaka nikashindwa kutumia zile 10GB zao za usiku kutokana na mtandao kukatika katika.

Naomba mnijuze wakuu hii ishu ni kwangu tu au na nyie inawakumba maana nishachoshwa na hii kitu.

Poleni sana.

Wanakuwa kama umeme wa Kusini.

Serikali haijawhi kusimamia kitu kikawa salama.
 

mlavie

JF-Expert Member
Dec 10, 2010
296
500
Haya sasa mazingaombwe!! Yani ukizima simu/modem then ukaiwasha ndio mtandao unarudi halafu baada ya dakika 10 tena unakata halafu ukizima tena na kuwasha unarudi ...:(:(
Amini nakwambia hiyo sio issue ya Network ni problem ya device unayoitumia.
 

Bonge

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
1,059
2,000
Sina hamu nao hao...kuna siku nimenunua kifurushi chao niangalie live event duu 4G/3G zote ziliniangusha nikarudi zangu voda kwa unyonge!...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom