Marternity hospital ni nini?

Marternity hospital ni nini?

Napoleon Jr

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
62
Reaction score
36
Naomba kuelezwa na wanaofahamu martenity hospital ni kitu gani na kwa hapa kwetu Tanzania vigezo gani vinahitajika ili kuweza kumiliki marternity hospital..naombeni sana mchango wenu wakuu
 
Naomba kuelezwa na wanaofahamu martenity hospital ni kitu gani na kwa hapa kwetu Tanzania vigezo gani vinahitajika ili kuweza kumiliki marternity hospital..naombeni sana mchango wenu wakuu
Hospitali ya huduma za kina mama wajawazito hadi wanaojifungua .Hizo zingine wataelezea wajuvi wa mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom